OneNote
Majibu
Sign in
Outlook.com
People
Calendar
OneDrive
Word
Excel
PowerPoint
OneNote
Sway
Skype
Office
Flow
Jumuisha OneNote na SIS yako
OneNote inaweza kufanya kazi moja kwa moja na SIS yako ya shuleni. Hii huwaruhusu walimu kuunganisha Daftari lao la Darasa kwa urahisi na kuunda Kazi na Gredi kutoka kwenye OneNote inayotiririka moja kwa moja kwenye SIS/Daftarigredi.
Ili kuona video za onyesho la kila SIS/Daftarigredi, tafadhali tembelea
https://www.onenote.com/edupartners
.
Anza
Ili kuanza, unahitaji kusajili SIS yako na OneNote.
Ingia ukitumia akaunti yako ya Office 365 kutoka shule yako ili uanze.
Ingia
Jisajili kwa akaunti ya Office 365 bila malipo >
Jifunze zaidi kuhusu OneNote Class Notebook SIS na auni ya kujumuisha daftarigredi >