Kisomaji cha Kuzamisha
ZANA ZA MAFUNZO ZA MICROSOFT
Kisomaji cha Kuzamisha ni zana ya bila malipo inayotumia mbinu zilizothibitishwa ili kuboresha usomaji wa watu bila kujali umri wala uwezo wao.
Huboresha ufahamu
Zana zinazosoma matini kwa sauti, gawa katika silabi na uongeze nafasi kati ya mistari na herufi.
JIFUNZE ZAIDIHuhimiza kusoma kwa uhuru
Kifaa cha kufundishia kinachowasaidia walimu kuwaauni wanafunzi wenye uwezo tofauti.
TAZAMA BONYEZAKipengele | Faida ya Kuthibitishwa |
---|---|
Imla iliyoboreshwa | Huimarisha kuandika matini |
Hali ya kuangazia | Hudumisha makini na kuimarisha kasi ya kusoma |
Usomaji wa kina | Huimarisha ufahamu na kudumisha makini |
Nafasi ya fonti na mistari mifupi | Boresha kasi ya kusoma kwa kuangazia "visual crowding" |
Aina za Maneno | Huauni agizo na kuimarisha ubora wa kuandika |
Utenganishaji wa silabi | Huimarisha utambuzi wa neno |
Hali ya ufahamu | Huimarisha ufahamu kwa wastani wa asilimia 10 |
Boresha usomaji ufahamu
- Ongeza ufasaha kwa wanafunzi wa lugha ya Kiingereza au wasomaji wa lugha nyingine
- Saidia kuunda ujasiri kwa wasomaji wanaoibuka kujifunza kusoma kwa viwango vya juu zaidi
- Wape masuluhisho ya kusimbua matini wanafunzi walio na tofauti za kusoma kama vile kutoweza kusoma

Immersive Reader inapatikana kwenye mifumo hii:
![]() |
OneNote Online
jifunze zaidi
OneNote for Mac na iPad jifunze zaidi |
![]() |
Word Desktop jifunze zaidi Word for Mac, iPad na iPhone jifunze zaidi |
![]() |
Outlook Online jifunze zaidi Outlook Desktop jifunze zaidi |
![]() |
|
![]() |
Kivinjari cha Microsoft Edge |
![]() |
Microsoft Teams jifunze zaidi |

Immersive Reader inapatikana kwenye mifumo hii
![]() |
OneNote Online
OneNote for Mac na iPad jifunze zaidi |
![]() |
Word Desktop jifunze zaidi Word for Mac, iPad na iPhone jifunze zaidi |
![]() |
Outlook Online jifunze zaidi Outlook Desktop jifunze zaidi |
![]() |
|
![]() |
Kivinjari cha Microsoft Edge |
![]() |
Microsoft Teams jifunze zaidi |