Rejesha nyuma na ucheze
Songa nyuma na mbele ili utazame kutafakari kukiendelea. Hesabu maudhui mpema ili kutambua kwa kasi yako kile kilicho muhimu pekee kuangazia. Chochewa na kipengee cha wakati.
OneNote imesasishwa kwa zana mpya za wino na muundo mpya wa chapa. Fahamu mengi zaidi
Andika madokezo yako kwa mkono, fafanua nyaraka, au andika wazo lako kubwa lifuatalo. Kuwa mbunifu kwa zana na athari mbalimbali. Hisia ya kawaida ya kalamu na karatasi inakutana na nguvu ya wino wa dijitali.
Songa nyuma na mbele ili utazame kutafakari kukiendelea. Hesabu maudhui mpema ili kutambua kwa kasi yako kile kilicho muhimu pekee kuangazia. Chochewa na kipengee cha wakati.
Alama za jaribio hupanda katika sayansi na ubunifu huimarika wanafunzi wanapoweka kalamu ya dijitali kwenye karatasi ya mtandao. Hebu tafakari kuandika kulikochochewa bila dawati lenye karatasi. Kalamu na karatasi vimebadilika.
Kutoka hisabati msingi hadi kalkulasi, geuza milinganyo yako iliyoandikwa kwa mkono kuwa matini unayoweza kuhariri. Kisha upate maagizo ya hatua kwa hatua ili kukusaidia kupata suluhisho. Ni kila kitu ulichotamani kikokotozi kingeweza kufanya.
Unda orodha, panga likizo, au panga mkakati wa ushindi wa siku yako. Wino hurahishisha na kuharakisha kutoa kilicho akilini mwako kuliko awali.
Fafanua, angazi, na usisitize kilicho muhimu kwa PDF na nyaraka za Office zilizoshirikiwa katika OneNote. Fanya maana yako ieleweke kwa kujieleza kwa Wino.
Andika mawazo yako haraka na kwa njia ya kawaida kama kuweka penseli kwenye karatasi. Ikiwa unaweza kuitafakari, unaweza kuichora.
Walimu huongeza ubora wa mafunzo *
Walimu huokoa muda kuzipa karatasi madaraja *
Walimu huokoa muda kutayarisha masomo *
OneNote Clipper Tuma Barua pepe kwa OneNote Office Lens Programu Zilizoangaziwa