Daftari la Darasa la OneNote
Okoa muda. Panga. Shirikiana.
Madaftari ya Darasa ya OneNote yana eneo la kazi la kibinafsi kwa kila mwanafunzi, maktaba yenye maudhui kwa karatasi za mazoezi, na nafasi ya ushirikiano kwa vipindi na shughuli za ubunifu.
Kuingia Katika Daftari la Darasa

Ingia ukitumia akaunti yako ya Office 365 kutoka shule yako ili uanze.
Nyongeza ya Daftari la Darasa
Nyongeza hii mpya ya bila malipo kwa eneo-kazi la OneNote (2013 au 2016) imeundwa ili kuwasaidia walimu kuokoa muda na kuwa hata wenye manufaa zaidi kwa Madaftari yao ya Darasa. Nyongeza inajumuisha usambazaji wa ukurasa na sehemu, ukaguzi wa haraka wa kazi ya wanafunzi na zoezi na ujumuishaji wa alama na washirika wengi wa LMS/SIS.
DOKEZO: Watumiaji wa OneNote for Windows 10 na Mac hawahitaji kupakua Nyongeza ya Daftari la Darasa kando kwa sababu imeundiwa ndani.

Ikiwa unahitaji kusambaza nyongeza ya Daftari la Darasa kwa upana kwenye PC anuwai au wewe ni Msimamizi wa IT, tafadhali bofya hapa kwa maelezo zaidi.

Panga maudhui yako ya kozi
Pangilia mipango yako ya masomo na maudhui ya kozi katika daftari lako binafsi la dijitali.
Weka kila kitu katika Daftari la Darasa la OneNote , na utumie utafutaji wenye nguvu kupata unachokitafuta, hata matini katika picha au mwandiko.
Madaftari yako yanahifadhiwa kiotomatiki na yanaweza kutazamwa kutoka kwenye vifaa vyovyote, mtandaoni au nje ya mtandao.
Mafunzo ya mtandaoni yenye mwingiliano bila malipo
Kusalia ukiwa umejiandaa ukitumia OneNote >
&Unda na uwasilishe masomo yenye mwingiliano
Kusanya maudhui ya wavuti na upachike masomo yaliyopo katika class notebook ili uunde mipango ya masomo.
Jumuisha rekodi za sauti na video ili uunde masomo yenye mwingiliano kwa wanafunzi.
Wanafunzi wanaweza kutumia zana zenye nguvu zaidi za kuchora ili kuangazia, kufafanua slaidi, kuchora michoro, na kuandika matini yakuyoandikwa kwa mkono.
Daftari lako la darasani linarahisisha kukusanya kazi ya ziada, majaribio, mitihani na karatasi za mazoezi.
Wanafunzi huenda kwenye maktaba ya maudhui kupata kazi zao. Hakuna mazoezi zaidi yaliyochapishiwa darasa.
Mafunzo ya mtandaoni yenye mwingiliano bila malipo
Kuunda vipindi vya mwingiliano kwa OneNote >
Shirikiana na utoe maoni
Toa usaidizi wa binafsi kwa kucharaza au kuandika moja kwa moja katika kila daftari la siri la mwanafunzi.
Nafasi ya ushirikiano inahimiza wanafunzi kufanya kazi pamoja huku mwalimu akitoa majibu na mafunzo kwa wakati ufaao.
Kwa kutafuta lebo zinazoomba usaidizi, walimu wanaweza kuwapa wanafunzi wanaong`ang`ana majibu ya papo hapo.
Mafunzo ya mtandaoni yenye mwingiliano bila malipo
Kushirikiana darasani kwa Daftari la Darasa la OneNote >
Anza Sasa