Madaftari ya Wafanyakazi ya OneNote
&Palilia na udhibiti ushirikiano wa kielemishaji
Madaftari ya Wafanyakazi ya OneNote yana nafasi ya kazi ya binafsi kwa kila mfanyakazi au mwalimu, maktaba yenye maudhui kwa taarifa iliyoshirikiwa, na nafasi ya kushirikiana kwa kila mtu kufanya kazi pamoja, vyote ndani ya daftari moja bora sana.
Ingia ukitumia akaunti yako ya Office 365 kutoka shule yako ili uanze.

Jisajili kwa akaunti ya Office 365 bila malipo >
Shirikiana katika eneo moja
Eneo la ushirikiano limeundwa kwa shughuli za kikundi kama vile idara inayoshirikiwa au miradi mbalimbali ya wafanyakazi.
Fanya kazi pamoja kwenye madokezo, majukumu na mipango katika daftari moja, na ufikie kila kitu kwa kutumia utafutaji bora sana wa OneNote.
Shiriki taarifa na kila mtu
Tumia maktaba ya maudhui kuchapisha sera, taratibu, makataa, na kalenda ya shule.
Vibali katika maktaba ya maudhui huruhusu kiongozi wa wafanyakazi kuhariri na kuchapisha taarifa, lakini wengine wanaweza kutazama na kunakili maudhui pekee.
Jiendeleze mwenyewe na kazi yako
Kila mfanyakazi ana eneo la faragha la kufanyia kazi, linaloshirikiwa na kiongozi wa wafanyakazi pekee. Daftari hili linaweza kutumiwa kwa ukuzaji wa taaluma, uchunguzi wa darasani, na mawasiliano kwa wazazi.
Wafanyakazi wanaweza kugeuza madaftari haya yawafae kwa mahitaji yao binafsi. Yanawaruhusu kuhifadhi taarifa inayorejelewa kila mara katika umbizo linalowafaa.
Anza Sasa
Ingia ukitumia akaunti ya Office 365 kutoka shule yako ili uanze au kudhibiti Madaftari ya Wafanyakazi yaliyopo