Unda njia yako
Unachora mawazo bora kwenye vitambaa na madokezo yanayonata? Je, ujazaji sahihi ni mtindo wako unaopenda? OneNote imekushughulikia kwa kila njia unayotumia kuboresha mawazo yako. Charaza, andika au chora kwa kalamu ya kipekee kwenye karatasi. Tafuta na ubane kutoka kwenye wavuti hadi mawazo ya picha.

Shirikiana na mtu yeyote
Timu yako inashinda wazo la karne. Familia yako inapanga menyu ya muungano mkubwa. Salia kwenye ukurasa mmoja na katika ulandanishaji popote ulipo.

Fikiria kwa wino
Tayari. Weka. Chora. Sindano ya simu au ncha ya kidole ndiyo zana pekee unayohitaji. Andika madokezo na uyageuze kuwa matini yaliyocharazwa baadaye. Angazia kilicho muhimu na ueleze mawazo kwa rangi au maumbo.

Fikia kutoka mahali popote
Andika dokezo. Ni rahisi kuvuta maudhui yako kutoka mahali popote, hata ukiwa nje ya mtandao. Anza kwenye kompyuta kibao yako kisha usasishe madokezo kwenye simu yako. OneNote inafanya kazi kwenye kifaa au mfumo wowote.

-
Windows
-
Apple
-
Android
-
Wavuti
Bora na Office
OneNote ni mwanachama wa familia ya Office ambayo unaijua tayari. Boresha madokezo ukitumia viashiria vilivyovutwa kutoka barua pepe ya Outlook, au pachika jedwali la Excel. Fanya mengi zaidi ukitumia programu zako za Office uzipendazo wakati wa kufanya kazi pamoja.

Unganisha darasa
Walete wanafunzi pamoja katika nafasi ya kushirikiana au toa usaidizi wa binafsi katika madaftari ya faragha. Na hakuna kuchapisha karatasi za mazoezi tena. Unaweza kupanga vipindi na kusambaza mazoezi kutoka kwenye maktaba makuu ya maudhui.
